Baba tiffah, Diamond Platnumz, (Dangote) kafanya poua sana kwa kupata Tuzo Tatu Za AFRIMA 2015 Ndani ya Texas Marekani ambazo ni Best Ma...
Baba tiffah, Diamond Platnumz, (Dangote) kafanya poua sana kwa kupata Tuzo Tatu Za AFRIMA 2015 Ndani ya Texas Marekani ambazo ni
- Best Male (East Africa) -Diamond Platinumz
- Best Dance Video - 'NANA' -Diamond Platinumz
- Artist of the year - Diamond Platinumz
Pia Ommy Dimpoz na Vee Money walipata tuzo ambazo ni
Best Female (East Africa) - Vanessa Mdee
Best Newcomer - Ommy Dimpoz
COMMENTS