idadi kubwa ya maelfu ya watu waliohudhulia mkutano huo Mgombea uraisi kupitia tiketi ta UKAWA Edward Lowasa ameiteka Mwanza kwa mafu...
idadi kubwa ya maelfu ya watu waliohudhulia mkutano huo

Mgombea uraisi kupitia tiketi ta UKAWA Edward Lowasa ameiteka Mwanza kwa mafuriko yasiyo ya kawaida shughuli nyingi zilisitishwa watu walifunga biashara zao mapema ili angalau wakapate kumtazama mgombea huyo Bwn Edward Lowassa
COMMENTS