Hichi ndicho alicho kisema Wema baada ya Diamond platnumz kumpost instagram

July 5, 2016Nguli wa muzilki Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kupost kwenye Instagram kuhusu watu kujitokez...



July 5, 2016Nguli wa muzilki Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kupost kwenye Instagram kuhusu watu kujitokeza kwa wingi kwenye show ambayo imeandaliwa na mpenzi wake wa zamani  Wema Sepetu pamoja na Christian Bella na Idris.


Hicho ndicho alichokiandika diamond platnumz
Wema aliyasema haya,

‘Watu wamekuwa wakiitumia hii beef yetu kujipatia followers hasa kwenye mitandao yao kwasababu mtu anaweza akatokea sehemu yoyote na kuanza kunitukana mimi au kumtukana Naseeb akajipatia followers wa kutosha, kuna muda mimi nilikuwa naogopa kuimba wimbo wa Diamond unapopigwa naogopa hata kucheza’.

‘Nikisikia nyimbo za Naseeb siwezi kuimba inanibidi nikaze lakini mwisho wa siku najikomoa mimi mwenyewe nikikaa kwenye gari nitaimba kama utakuwa unakumbuka nilivyoimba mara ya kwanza watu wakashangaa wakawa wanajiuliza maswali mengi sana, kwasasa hatuko kwenye mapenzi lakini tunasaidiana kazi kuonesha uzalendo’

COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: Hichi ndicho alicho kisema Wema baada ya Diamond platnumz kumpost instagram
Hichi ndicho alicho kisema Wema baada ya Diamond platnumz kumpost instagram
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVRUaM-aiE3vChajNAKXQ2VZ5zrFOubKeE44OXmNnbZB33B5MynzbebI57omxcCrKbgIqB4T0tlg5x3NrhdLykg5e1QcqP5AfyyQeybZIPgHWzfzaqHWqdJtm3sZJUyV1w8JVFp2yWkYtC/s640/Wema-Sepetu.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVRUaM-aiE3vChajNAKXQ2VZ5zrFOubKeE44OXmNnbZB33B5MynzbebI57omxcCrKbgIqB4T0tlg5x3NrhdLykg5e1QcqP5AfyyQeybZIPgHWzfzaqHWqdJtm3sZJUyV1w8JVFp2yWkYtC/s72-c/Wema-Sepetu.jpg
MSABAHA BLOG
https://msabaha.blogspot.com/2016/07/hichi-ndicho-alicho-kisema-wema-baada.html
https://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2016/07/hichi-ndicho-alicho-kisema-wema-baada.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy