Hii ndiyo kauli aliyo isema Yussuph Makamba ambayo ilionekana kama dongo kwa waziri mstaafu na Aliyekuwa mpinzani mkuu wa Mh. magufuli...
Hii ndiyo kauli aliyo isema Yussuph Makamba ambayo ilionekana kama dongo kwa waziri mstaafu na Aliyekuwa mpinzani mkuu wa Mh. magufuli ndg Eddward Lowassa
"Chama kinatoka mikononi mwa kada ambaye anapinga ufisadi kiasi cha kumtosa rafiki yake Lowassa kwa sababu Lowassa ni fisadi, kinakwenda mikononi mwa muasisi wa mahakama ya mafisadi."
Unaizungumziaje kauli hii?
COMMENTS