ajali mbaya ya kati ya basi la kampuni ya Al Saed na lori lililokuwa limebeba mifuko ya saruji imetokea muda katika eneo la Kimara stop ...
ajali mbaya ya kati ya basi la kampuni ya Al Saed na lori lililokuwa limebeba mifuko ya saruji imetokea muda katika eneo la Kimara stop over, Ubungo jijini Dar es Salaam na kusababisha watu wengi kupoteza maisha,.
Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Dodoma kuja Dar es Salaam kwamba liligongana na lori hilo na kisha magari yote mawili kushika moto na kuteketea huku baadhi ya abiria wakiteketea pia.
“Lori lilikuwa limebeba mifuko ya saruji likielekea Mbezi na lilikuwa kwenya kasi kubwa na magari ya mbele yake yalipofunga breki za ghafla ikabidi lori hilo liyakwepe na kukutana uso kwa uso na basi hilo.
Magari yote mawili yameungua na tumeshuhudia baadhi ya watu wakiteketea kwa moto pia na vichwa vyao kupasuka kwa milio mithili ya bomu,”
TIZAMA VIDEO HII
COMMENTS