Kikosi cha yanga Timu ya yanga African Watoto wa jangwani wametoa kipigo kikali dhidi ya wageni wao MBAO FC toka Jijini Mwanza nyot...
Kikosi cha yanga

Timu ya yanga African Watoto wa jangwani wametoa kipigo kikali dhidi ya wageni wao MBAO FC toka Jijini Mwanza nyota ya yanga ilianza kung'aa baada ya bao la Bossou Dk 49, pia goli la pili lilifungwa Dk 55, kwa mpira wa kurusha na Twite ulikwenda moja kwa moja wavuni kipa kuupangulia ndani
Goli la mwisho la Yanga lilifungwa na Tambwe DK ya 75 baada ya kuunganisha pasi safi toka kwa Simon Msuva
COMMENTS