Hivi ndivyo mh. Ridhiwani Kikwete alivyosema dhidi ya shutuma ya kuhusika na Madawa
HomeMIX-NEWS

Hivi ndivyo mh. Ridhiwani Kikwete alivyosema dhidi ya shutuma ya kuhusika na Madawa

Mbunge wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amekanusha vikali shutuma zilizoto...

Mahakama yamweka huru Yusuf Manji kwa kesi ya Uhamiaji
KIGOGO aliyempa shamba Makonda ahojiwa
Mwanafunzi akipata mimba mzazi jela miaka 30 JELA
Tokeo la picha la RIDHIWANI KIKWETE MADAWA

Mbunge wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amekanusha vikali shutuma zilizotolewa dhidi yake kuhusu kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya.Moja ya magazeti ya leo yamechapisha habari inayomtaja mbunge huyo kujihuisha na bishara ya dawa za kulevya ambayo imekuwa ikipigwa vita kila kona ya nchi kutokana na kupoteza nguvu kazi ya taifa.

Gazeti hilo limeandika kuwa, jina la Ridhiwani limetajwa katika orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya na kuwa uchunguzi utafanyika. Pia limesema mbunge huyo ametoa kauli nzito kwa hadhara.

Kiongozi huyo kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kuwa, hafanyi biashara hiyo haramu wala hakuwahi kufikiria kuifanya na kwamba nafsi yake i tayari kufa masikini kuliko kupata utajiri kupitia njia hiyo.Aidha, ameeleza kuwa, anaamini kwamba uchunguzi utafanywa ili kuweza kuweka mambo sawa kwani yeye hana kitu chochote cha kuficha.   Amesema kwamba, maneno hayo ya shutuma juu yake ni ya uongo na kwamba yametolewa na watu wasiomtakia mema na wasio na haya.
Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: Hivi ndivyo mh. Ridhiwani Kikwete alivyosema dhidi ya shutuma ya kuhusika na Madawa
Hivi ndivyo mh. Ridhiwani Kikwete alivyosema dhidi ya shutuma ya kuhusika na Madawa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgTa_bt87wBqW4uw_9aZr8nE8xGJ9ZSUUAfQQU0pWo_f9hFLVtmucUrqUe64kLU-AG3RWYr2Fs1ak-AlFyMpHBIIxRXB4HWOYRTmRL5HbtViNJZUAsIt0LRmj_X4LrQgsqIsXgzvb5WzRrl/s1600/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgTa_bt87wBqW4uw_9aZr8nE8xGJ9ZSUUAfQQU0pWo_f9hFLVtmucUrqUe64kLU-AG3RWYr2Fs1ak-AlFyMpHBIIxRXB4HWOYRTmRL5HbtViNJZUAsIt0LRmj_X4LrQgsqIsXgzvb5WzRrl/s72-c/1.JPG
MSABAHA BLOG
https://msabaha.blogspot.com/2017/02/hivi-ndivyo-mh-ridhiwani-kikwete.html
https://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2017/02/hivi-ndivyo-mh-ridhiwani-kikwete.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy