Kwa penati ya utata ya Dk 86 waliyopata Simba dhidi ya Mbeya City ambaya imeonekana kama kua na mazingira ya SIMBA kubebwa imeisaidia ...
Kwa penati ya utata ya Dk 86 waliyopata Simba dhidi ya Mbeya City ambaya imeonekana kama kua na mazingira ya SIMBA kubebwa imeisaidia Klabu hiyo kupata Sare ya Goli 2-2 na kuifanya Klabu hiyo kusalia kileleni kwa Pointi 53 wakiwa mbele ya Yanga yenye pointi 50,huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi.
TIZAMA NAMNA PENATI HIYO ILIVYOPATIKANA NA NAMNA GOLI HILO LILIVYO SAWAZISHWA
COMMENTS