Uongozi wa Yanga leo umesitisha mkataba na mkurugenzi wao wa ufundi Hans van Pluijm,Van Pluijm alikuwa kocha wa timu hiyo kabla ya kubadi...
Uongozi wa Yanga leo umesitisha mkataba na mkurugenzi wao wa ufundi Hans van Pluijm,Van Pluijm alikuwa kocha wa timu hiyo kabla ya kubadilishiwa majukumu kuwa mkurugenzi wa ufundi baada ya ujio wa George Lwandamina ambaye ndio kocha mkuu kwa sasa.
Taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii zinataja kuwa chanzo cha kuondoshwa kwa kocha huyo ni uhaba wa pesa unaoikabili klabu hiyo kwa sasa.
DizzimOnline inafanya kila liwezekanalo kutafuta sababu zilizopelekea Pluijm kupigwa chini na Yanga na habari kamili utaipata hapa hapa.
COMMENTS