Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam imemuachilia huru kwa dhamana aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Lawren...
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam imemuachilia huru kwa
dhamana aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Lawrence Masha
baada ya kukidhi vigezo vya dhamana. Alipelekwa segerea kwa kutuhumiwa kutoa lugha ya matusi kwa jeshi la polisi na kuwashawishi wananchi kufanya fujo.
COMMENTS