Diamond kuchuana tena na Davido kwenye tuzo za MTVEMA Msimu wa tuzo za MTV Europe MTVEMA uko mbioni na...
Diamond kuchuana tena na Davido kwenye tuzo za MTVEMA

Msimu wa tuzo za MTV Europe MTVEMA uko mbioni na tayari majina manne ya
wasanii watakaowania tuzo hizo yameshatolea, Diamond Platnumz akiwa ni
mmoja wapo
Diamond atakuwa akichuwana kwa mara nyingine tena na msanii kutoka Nigeria Davido, Goldfish
(south Africa) pamoja na Toofan (Togo)
EMA
wametoa nafasi na kuwapa nguvu mashabiki na wapenda mziki wote duniani
kumchagua mshiriki atakaekuwa wa tano katika kipengele hicho (Best
African Act) kupitia mitandao ya kijamii wakimchagua kutoka katika list
hii ya wasanii
COMMENTS