Bao alilojifunga mwenyewe la Kyle Walker, katika dakika ya 22 ya kipindi cha kwanza, lilitosha kuwapa vijana wa Louis van Gaal ushindi...
Bao alilojifunga mwenyewe la Kyle Walker, katika dakika ya 22 ya kipindi cha kwanza, lilitosha kuwapa vijana wa Louis van Gaal ushindi muhimu na alama tatu za kwanza dhidi ya mahasimu wao Tottenham Hotspurs.
United ilikuwa imeikaribisha Hotspurs katika uwanja wa Old Trafford katika mechi ya kufungua msimu huu wa ligi kuu ya premia ya Uingereza.
COMMENTS